Darecha featured on BBC Swahili

Julius Shirima ni mshindi kutoka Tanzania wa tuzo ya Pan-Commonwealth Youth Award , heshima aliyotunukiwa kwa jukumu lake la kuwawezesha vijana, elimu na usawa wa kijinsia.

Bwana Shirima Jumanne jioni pia alitunukiwa heshima ya kuwa mshindi wa tuzo ya Africa Region Commonwealth Youth Award kwa jukumu lake la kumkomboa kijana kiuchumi katika sherehe iliyofanyika jijini London. Aliibuka mshindi kati ya watu 15 walioingia fainali ya kinyang’anyiro hicho. Unaweza kusoma zaidi hapa: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2015/03/150312_julius_tuzo?ocid=socialflow_facebook

Leave a comment